Monday, April 27, 2009

sasa hii ni hatari


huyu mrembo Nadja Benaissa ni mwanamziki wa kikundi cha "no angels" cha hapa ujerumani. watu mashuhuri kama hawa badala ya kuhamasisha watu kuepuka na ukimwi wao wanaeneza kwa makusudi kabisaaaaaaaaaa. muwe macho. pia anamadeni lukuki pengine ni mtumiaji pia ndio maana hajali kufa na watu.

No comments: