Saturday, April 11, 2009

pasaka njema wadau wote


mwandishi wa blogu hii anapenda kuwatakia pasaka njema. siku ya pasaka iwe siku ya maana kwetu kwa kukumbuka kufufuka kwa Bwana wetu Yesu kristo. zaidi ni kutafakari maana ya kufufuka kwake kama alama ya ushindi.

No comments: