wanasayansi wamefanikiwa kumwekea mama huyu sehemu ya sura yake ambayo iliharibiwa bibaya sana na risasi. Alipigwa risasi na mume wake. mama huyu atakuwa na sura mpya na pia hatakuwa na sura ya "mfadhili" (donor) wake.
hivi ndivyo prosesi yote ilivyo kwenda.
hivi ndivyo anavyoonekana sasa. lakini baadaye atabadilika na kuwa vizuri kidogo.
No comments:
Post a Comment