Saturday, September 06, 2008

barafu kenya

hivi ndivyo wanakijiji wa nyahururu huko kenya walishangaa kuona barafu baada ya kuanguka kama mvua ya mawe. hawajawahi kuona kitu kama hiki. barafu hiyo ilifunika hekta kama 50 hivi.

No comments: