Saturday, August 23, 2008

rais wa zambia afariki dunia paris ufaransa

rais wa zambia levy patrick mwanawasa (59) pichani amefariki dunia huko ufaransa alipokuwa akitibiwa kiharusi. kwa kusoma zaidi taarifa zake soma linki hii http://en.wikipedia.org/wiki/Levy_Mwanawasa

No comments: