Friday, July 18, 2008

noti mpya


baada ya kuwa na noti ya thamani ya dollar ya kizimbabwe ya 10,000,000 sasa inakuja nyingine (pengine tayari inatumika) ya dollar 100,000,000 na 250,000,000. dollar ya kizimbabwe imeshuka thamani kwa asilimia 2,200,000. sasa fikiria ukienda kununua mkate (kama utaukuta dukani) utatakiwa uwe na dollar ngapi?

No comments: