Friday, July 25, 2008

afrosommer augsburg 2008

free ngoma kupiga time. kila mtu alikaribishwa kwenda kupinga ngoma

kila mtu alijitahidi kutafuta rafiki.


hindi la kukaangwa. unaweza kula hata kama hauna meno.


wanaita gulashi lakini mimi naita wali nyamahivi ndivyo ilivyokuwa siku ya afrosommer party augsburg 2008. ni kwa mara ya kwanza kufanyika hapa. kwa bahati mbaya nilikuwa na majukumu muhimu nyumbani ikanilazimu nichelewe. nahaidi kuwapa full report itakapo fanyikatena mwakani.

No comments: