Sunday, July 27, 2008

mtu mzito kuliko wote duniani


manuel uribe mtu anayesadikika kuwa ndiye mzito kuliko wote duniani anaishi mexiko. mwaka huu alishafikisha kilo 544,3. sasa yuko kwenye "diat" na anauzito wa kilo 362.9 . hawezi kusimama na muda wote yuko kwenye kitanda chake maalum kwa kadiri ya miaka mitano sasa. alikuwa anakula chakula kama watu wengine. madakitari wanasema hii ni "morbid obesity" na chanzo cheke haswa hakijulikani.No comments: