Sunday, July 27, 2008

barack obama akiwa berlin ujerumani

"kuta mpya lazima tuzivunje" obama akihutubia watu zaidi ya 200,000 tarehe 24/7/08 berlin ujerumani.


obama mwenyewe

obama na mwenyeji wake markel, kansela wa ujerumani
obama akitoa hotuba iliyotulia na yenye kufanya watu wote duniani tuwe na usawa, kuheshimiana n.k. na kupiga vita ughaidi.palikuwa na askari polisi takribani 700baadhi ya watu waliokwenda kumsikiliza seneta obama berlin


kila mtu alitaka kusalimiana na obamaumati wa takribani watu 200,000

nguo kwaajili ya watuwazima na watoto.hii ni sehemu ya hutuba yake:
"The walls between the countries with the most and those with the least cannot stand.

The walls between races and tribes; natives and immigrants; Christian and Muslim and Jew cannot stand.

These now are the walls we must tear down."

No comments: