Saturday, August 09, 2008

bernie mac wa ocean's eleven afariki.

kwa wale wapenzi wa muvi bernie mac amefariki jumamosi asubuhi ya tarehe 9/8/08 akiwa na miaka 50. amecheza kwenye sinema inayoitwa "ocean's eleven" n.k.. alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa kwa kitaalamu unaitwa sarcoidosis (http://en.wikipedia.org/wiki/Sarcoidosis).

soma zaidi: http://news.yahoo.com/s/ap/20080809/ap_on_en_tv/obit_bernie_mac

No comments: