Tuesday, June 17, 2008

wengi wakimbilia kuhalalisha ndoa zao za jinsia moja

ni kweli sasa binadamu tunazidi kuweka mpaka mkubwa kati yetu na Muumba na pia ni dhahiri kuwa watu tunakuwa ma"etheist". binadamu sasa anaangalia tamaa zake zaidi na kuweka kando maagizo ambayo Muumba aliyaweka wazi kwetu kuwa ndoa ni kwa jinsi a mbili tofauti na siyo jinsia moja. watu hawa pamoja na hao waliopitisha sheria hiyo ya kuwa ndoa za jinsia moja ni halali si watu wa kuigwa kamwe. ni watu wa kulaaniwa kwa kuwa wanafundisha watu vibaya. tunajua gay na lesbians wako katika ulimwengu huu, lakini kwa mujibu wa vitabu vya dini hakuna sehemu inayosema wanaruhusiwa kuishi pamoja kama mume na mume, mume na mke (wa kiume), mke na mke, mke na mume (wa kike). tuendelee kuwaombea watunga sheria waweze kumwogopa Muumba na kamwe tusiige kile ambacho wao wanadhani ni sahihi kwaajili ya tamaa za miili yao. ikija kura ya maoni hapo ulipo tafadhali kataa na useme huo siyo mpango wa Mungu. pia tuendelee kuomba shetani huyu asiingine makanisa na misikitini. na kama ameshaingia tuombe kwa nguvu ashindwe kabisa.
____________________________________________________________
hatua itakayo fuata ni kuhalalisha ndoa kati ya binadamu na wanyama kama vile mbwa, mbuzi, paka, kuku, sungura, samaki, mende, nzi, mbu pengine na hata bacteria kwa sababu tuu hawa wanyama na wadudu tunaishi nao kila siku na tunawapenda. uhuru huu wa wanadamu walio na akilifupi uko lakini haujawekwa wazi tuu. pengine pia mwaka 3000 tutahalalisha ndoa kati ya binadamu na tembo, nyangumi, miti na hata vitu visivyo na uhai. hoja itakayotumiwa ni UHURU WA MTU KUFANYA ATAKALO.


bango mbele ya msajili wa ndoa haramu.hata dada zetu.............


hata vikongwe.........

picha na maelezo zaidi tembelea http://news.yahoo.com/nphotos/Same-sex-marriage-begins-Calif-Pool-San-Francisco-Mayor-Gavin-Newsom-same-sex-couple-California-Supreme-Court/ss/events/wl/061003cagaymarriage/s:/ap/20080617/ap_on_re_us/gay_marriage/im:/080613/480/0173e06cdfaa4c5db6d1d3bcb64eb7fb/#photoViewer=/080617/480/3046c40719e44197b045dca56e037217

No comments: