bavaria film studios pale munich.
ni sehemu ambapo filamu nyingi na vipindi vya tv vinapotengenezwa (kurekodiwa)
sehemu ya kukutania wageni wasiojua na kuelewa kijerumani
ndani ya submarine ya kuigizia. "hatujazama hapoooo. tuko ardhini tuu"
mbwa anayeonekana anaruka kwenye filamu. hapo ndivyo alivyo wakati wa kuruka.
nyumba moja wapo ya kuigizia. angalia picha hapo chini kuona jinsi ndani kulivyo.
.........ndani ya picha ya hapo juu.
hahahahaha hapo tulipata nafasi ya kuigiza komedi ya "star trek".
wakuu wa safari nzima katika pozi la picha. safari hii ilikuwa ni kwa heshima kubwa ya zawadi ya harusi.
angalia picha zaidi hapa: www.flickr.com/photos/herikhi
No comments:
Post a Comment