muda: ~ masaa 6 (pamoja na kupumzika)
masaa 4 na dakika 47 (bila kupumzika)
umbali mpaka kituo: km 76.5 pamoja na kupotea njia
km 72.5 bila kupotea
masaa 4 na dakika 47 (bila kupumzika)
umbali mpaka kituo: km 76.5 pamoja na kupotea njia
km 72.5 bila kupotea
tumesha zikata km 25.6 (1/3 ya safari)
mapumziko mafupi
mapumziko kwaajili ya kula.
sasa tunaingia munich kwa spidi zoteeeeeeeeeee
picha ya juu na chini tumesha fika kituo cha mwisho (fallstr 24 munich)
safari ya kurudi augsburg. 2/3 ya safari tulirudi kwa treni na sehemu iliyobakia tulimalizia kwa baiskeli.
picha zaidi hapa: www.flickr.com/photos/herikhi
No comments:
Post a Comment