Friday, May 09, 2008

ibada ya kudumisha ushirikiano kkkt ujerumani na tanzania.

Siku ambapo palikuwa na ibada ya ushirikiano kati ya kanisa la kilutheri hapa Augsburg na makanisa ambayo yanafadhiliwa. nilipata picha hizi chache tii na pia watoto wa sunday school waliimba wimbo kwa kiswahili










hapo ni tangazo la kuwa watu waje kula chapati "straight from" jikoni na pesa zilizopatikana zitasaidia makanisa tanzania.











Mabinti ambao watasafiri kwenda tanzania kutembelea sharika mmbali mbali wakipika chapati kukusanya hela kwaajili ya kusaidia wenzao. chapati zilikuwa tamu sana.











hii ni bendera ya tanzania kama alama moja ya kuwa kanisa la kkkt linaombewa kudumisha ushirikiano ulipo. tanzania inaandika na "s" kwa kijerumani.

No comments: