Wednesday, May 11, 2011

kutunza afya na kuishi miaka mingi
siyo kwamba bibi huyu hana cha kufanya. anajaribu kurefusha maisha yake kwa siku kadhaa hata miaka. moja wapo ya siri kubwa za kutufanya tuishi miaka mingi ni kufanya mazoezi mara kwa mara ikiwezekana kila siku na bila kusaha kula vizuri na kuacha vitu ambavyo vinaweza kusababisha miili yetu idhohofike.

No comments: