Wednesday, March 16, 2011

tetemeko, sunami na mionzi - japani

nchi zilizoendelea hutengeneza umeme kwa njia ya nuclia. ufaransa ikiongoza. asilimia 70 ya umeme wa ufaranza hutokana na nguvu za nuclia. nchi zinazoendelea wanajenga vinu kwaajili ya kufua umeme. afrika kusini wanampango wa kutengeneza vinu zaidi ya vitano. baadhi ya nchi wananchi wake wameandamani kuishinikiza serikali zao kufunga vituo hivyo.

swali: je vinu vikifungwa mara moja walioendelea wataweza maisha ya kuwa na upungufu wa nishati ya umeme?

muhimu ni watu tuendelee kufumbua na kutua nishati mbadala kama vile umeme uliofuliwa na nguvu za upepo, baharini bila kusahau jua.

tuombe Mungu atusaidie tanzania isifikirie kabisa kufua umeme kwa nguvu za nyuklia.

vinu kimoja baada ya kingine vinayayuka na kulipuka. kemikali zenye mionzi zisambaa duniani kwa njia ya baharini au kwenye hewa tunayopumua itakuwaje?

kinu kimoja baada ya kingine vililipuka.

duu, sasa huyu mtoto kama alikutwa na mionzi maana yake nini kwa maisha yake?


No comments: