Sunday, August 30, 2009

vunja mbavu.....

google wanazidi kuturahisishia kuelewa lugha mbali mbali. hapa ni link (nadhani ni mpya) ya kutafsiri kutoka google http://translate.google.com/?hl=com# kisha andika "kuku kapanda baiskeli, bata kavaa laizoni".

na katika harakati za google kushindana na microsoft.

kumbuka ni tool mpya hivyo itumie kwa akili. unapata lugha nyingi pia na unaweza kutafsiri kutoka lugha moja hadi nyingine.

No comments: