Friday, January 16, 2009

zimbabwe yachapisha noti ya trilioni 100

hii ni noti ya zamani. pengine sasa hainĂșnui hata peremende au big g.



hakuna haja ya kutembea na magunia ya minoti wakati unaenda kununua mkate kwaajili ya chai asubuhi. tunakwenda kwa mtindo wa kuchapicha noti zenye masifuri mengi tuu ili kupunguza mzigo huo. je itakapo fika siku misifuri imekuwa mingi na hakuna nafasi kwenye noti ya kuandika misifuri mingi noti zitakuwa kubwa kama kanga?



soma zaidi hapa:

http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_amkanabbc.shtml



hapa unaweza kuona jinsi hela yao ilivyo na mipango ya noti zijazo: http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwean_dollar



habari za nyuma kidogo: http://news.yahoo.com/s/ap/20090112/ap_on_re_af/af_zimbabwe_2

No comments: