Wednesday, November 05, 2008

ni obama

sasa ni wakati wa waafrica kutawala ulimwengu kupitia marekani. "change has come" and let change start.

miaka 70 iliyopita waafrika hawakuruhusiwa kukaa kweye kiti kwenye basi sasa wesi hao hao wamepata nafasi ya kutawala marekani iliyokuwa inawabagua. hii inadhihirisha ubagzi umepungua kwa kiasi kikubwa sana. baraka amepata wafuasi wa mataifa mengi, ltino, wakahawia, weupe, etc. sasa ni wakati mzuri wa kufuta baguzi wa rangi kikamifu. INAWEZEKANA.hongera saaaaaaaaana mheshimiwa barack obama.

obama ni mshindi wa urais wa marekani watarehe 4.11.2008 na ni raisi wa kwanza "mweusi". ni raisi wa 44 wa marekani na atachukua ofisi mwakani tarehe 20 mwezi wa kwanza akiwa na miaka 47.5. pia ni mgombea wa kwanza kwa kupata kuranyingi sana kuliko hata clinton kusini mwa marekani (red states) ambapo kawaida ni republican hushinda. ataanza kazi hiyo ngumu ya kutawala marekani ikiwa ni pamoja na wale ambaohawakumpigia kura, wapinzani, marafiki, maadui etc. Mungu ampe nguvu nakumlinda na alete mabadiliko marekani na pia ulimwengu mzima. je, ssa wa"east africa" tunatawala unia kupitia marekani?

1 comment:

Muhira said...

Hallo,
ich würde Ihnen gerne eine persönliche Mail schreiben, kann aber keine E-Mail-Adresse finden. Können Sie sich bei mir melden?