Tuesday, July 01, 2008

sikukuu ya chama cha urafiki wa watanzania na wajerumani - munich 28 - 06 - 2008

hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya sherehe ya chama cha urafiki wa
watanzania na wajerumnai pale munich.


bendi iliyo tumbuiza.


waalikwa wakilisakata disko.baadhi ya waalikwa wakipumzika baada ya kulisakata lumba.

baadhi ya waliohudhuria walikuwa pia watoto ambao walihitaji uangalizi kila wakati.

No comments: