Saturday, June 07, 2008

barack hussein obamabaraka obama akiwa na baba yake barack hussein obama.

baraka akiwa na marehemu mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kambo na mdogo wake (nusu dada).

nani kama bibi?


babu na bibi zake huko marekani


ndugu zake baraka wa huko kenya. waliokaa kutoka kushoto ni dada yake baraka auma obama (nusu dada), mke wa kwanza wa baba yake (mama yake auma). walio simama wa pili kutoka kushoto ni baraka obama na anayemfuatia kushoto kwake ni kaka yake (nusu kaka) abongo obama (roy). ambao hawajatajwa hawajulikani vizuri.


familia ya baraka obama.

No comments: