swali: je vinu vikifungwa mara moja walioendelea wataweza maisha ya kuwa na upungufu wa nishati ya umeme?
muhimu ni watu tuendelee kufumbua na kutua nishati mbadala kama vile umeme uliofuliwa na nguvu za upepo, baharini bila kusahau jua.
tuombe Mungu atusaidie tanzania isifikirie kabisa kufua umeme kwa nguvu za nyuklia.
vinu kimoja baada ya kingine vinayayuka na kulipuka. kemikali zenye mionzi zisambaa duniani kwa njia ya baharini au kwenye hewa tunayopumua itakuwaje?


No comments:
Post a Comment