Monday, September 26, 2011

Mungu amlaze mahali pema peponi mama Wangari Maathai


Ni msiba mkubwa kwa waafrica wote. Ni mama ambaye aliweka nyuma maisha yake na kuweka mbele kutetea mazingira yetu na haki za akina mama. Tudumishe kile alicho tuachia.

No comments: