Sunday, December 05, 2010

"mtoto wa mkulima" alipiga chini 'shangingi'

ni hatua nzuri ya kuigwa. tunatakiwa kuwa hivi hata kwa vitu vyenye thamani ndogo kama vile karatasi za kuandikia barua za kiserikali. hivyo tutaokoa pesa zaidi za serikali na tutatunza mazingira.

hongera waziri mkuu pinda kwa uwamuzi wako.

soma zaidi gonga hapa

chanzo cha habari: fotobaraza.me

No comments: