Tuesday, November 09, 2010

neno refu

katika juhudi za kutafuta maneno marefu katika lugha mbali mbali nilikutana na neno hili la kijerumani:

Flächennutzungsplanänderungsverfahrens.


neno hili lina herufi 39 na maana yake ni "mpango wa matumizi ya ardhi na mchakato wa marekebisho".

1 comment: