Sunday, January 11, 2009

wamarekani hawajui kusoma.

asilimia 14 ya wamarekani (watu wazima hawajui kusoma. hii ni sawa na watu milioni 42. ukilinganisha na tanzania ni sawa na zaidi ya watu wote wanao ishi tanzania (idadi ~ milioni 30).
marekan inawatu takribani milioni 300.

http://news.yahoo.com/s/livescience/20090110/sc_livescience/14percentofusadultscantread

No comments: