Sunday, September 21, 2008

treni ya umeme bila dereva

sasa ajira zinaendelea kuwa hatarini. hiyo ni treni ya umeme ambayo haina dereva wala konda. kila kitu ni kompyuta tuu. mpaka sasa hakuna ajali iliyoripotiwa. ila usiombee umeme ukatike. kama inavyoonekana ni sehemu ya mbele ambayo kawaida hukaa dereva lakini ni sehemu ambayo wanakaa abiria wakishangaa shangaa. treni hiyo niliipanda wakati niko n├╝rnberg. nadhani zoezi hili likifanikiwa tutaipeleka tekinolojia hii bongo pia.
hii ni treni nyingine bila dereva huko wiingereza.


No comments: