Monday, June 02, 2008

nyama choma na mchuzi

hapo pembeni mwa sahani ni kinywaji kinaitwa "radla". ni mchanganyiko wa bia na sprite. ni maarufu sana wakati wa sama.


wee acha tuu !!!

3 comments:

Anonymous said...

Ee bwana naona hapo mambo yametulia kweli! nadhani hilo ni paja la kitimoto.Pia hilo liglasi kubwa itakuwa ni maji ya wa-Bavaria.
Asante kwa kutupa habari kwa njia hii,"Guten Appetit!"

Anonymous said...

duuu!! nilijua haya mambo ya nyama choma na mchuzi yapo bongo kumbe hata ulaya!!!. Kwa kweli hapo sina cha kusema ila tu ni kumezea mate tuu na kula kwa macho ukizingatia muda wenyewe niliofungua hii mail ulikuwa muda wa lunch!!!. Hiyo ni nyama gani ya bata au ng'ombe??

heri said...

hahahahahaha!! hiyo ni sehemu maalum ya kiti moto. ukila shea hii ambayo ni ya mtu mmoja huitaji kula dinner kama ilikuwa lunch.